Jose Mourinho kesho kutwa anakibarua kizito ndani ya Old
Trafford atakapokutana na Arsene Wenger ambae amedhamiria kukifanya kikosi cha
Arsenal kutwaa ndoo ya EPL msimu huu.
Manchester United inashuka dimbani huku ikiwakosa nyota wake
saba Kutokana na matatizo mbalimbali kama majeraha na adhabu Kutokana na kadi
za njano.
Chris Smalling, Antonio Valencia, Wayne Rooney, Eric Bailly,
Luke Shaw and Marouane Fellaini na Ibrahimovic. Hao ndio wachezaji
wanaotegemewa kuwa jukwaani wakati UTD wakiiikaribisha Arsenal.
ratiba nyingine ni kama inavyoonekana hapa
Crystal Palace vs Manchester City
Everton vs Swansea City
Southampton vs Liverpool
Stoke City vs AFC Bournemouth
Sunderland vs Hull City
Watford vs Leicester City
saa20:30
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Man u vs Arsenal ni vita EPL"