Manara atoa salamu za mwaka mpya akiri 2017 ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwa simba Unknown 6:24 AM 0 comments Salaam za mwaka mpya toka kwa Haji S Manara. Msemaji wa Simba SC Awali ya yote tumshukuru sana Mungu mwenyezi kwa kutuwezesha sote kuumali...
Mbeya City vs Simba mtoto hatumwi dukani Unknown 1:41 AM 0 comments Simba ina shuka kwenye dimba LA Sokoine kutafta pointi 3 muhimu mbele ya wabishi wa mji wa mbeya Mbeya City. Simba wanaingia kwenye mchezo...
Singida UTD waizindua Namfua kwa sare, Kaseke nusura aiangamize Yanga Unknown 9:13 PM 0 comments Singida UTD kwa mara ya kwanza wakiwa kwenye Uwanja wao wa nyumbani jana walitoka sare ya bila kufungana na mabingwa wa soka nchin...
Azam FC waishusha Simba kileleni, ushindi dhidi ya Ruvu waipata Usukani Unknown 8:48 PM 0 comments Mabingwa wa soka Afrika Mashariki na Kati timu ya Azam FC jana usiku wameifunga timu ya Ruvu Shooting ya mkoani pwani goli 1 kwa 0 n...
kikosi cha Singida UTD dhidi ya Yanga Unknown 4:31 AM 0 comments Kikosi cha Singida United: Manyika Peter JR, Michael Rusheshangoga, Shafik Batambuze, Salum Kipaga, Juma Kennedy, Mudathir Yahya, Deus ...
Kikosi cha Yanga dhidi ya Singida UTD Unknown 4:26 AM 0 comments Kikosi cha Yanga: Youthe Rostand, Hassan Kessy, Gadiel Michael, Andrew Vincent, Kevin Yondani, Pato Ngonyani, Pius Buswita, Papy Tshish...
Ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo, Majimaji waapa kuingamiza Stand UTD Unknown 8:18 PM 0 comments vs Msemaji wa timu ya Majimaji ya mjini songea bwana Onesmo ameiambia Jamii fm ya Mjini Mtwara kuwa njia ya kuwaunganisha mashabi...
Takwimu fupi tangu mwaka 2010 kwa mwezi oktoba baina ya Simba na Yanga Unknown 2:24 AM 0 comments Takwimu fupi tangu mwaka 2010 kwa mwezi oktoba baina ya Simba na yanga zimekutana mara 6 yanga kashinda mara 2 simba kashinda mar...
Kuziona Simba na Yanga jumamosi Tshs.10000 uwanja wa Uhuru Unknown 8:08 AM 0 comments Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania TFF limetangaza viingilio katika mchezo ujao wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya j...
Simba hii hatari sana, Yailaza Njombe 4, Okwi kama kawa, Mtibwa nayo ni Shida, Azam yabanwa mbavu Unknown 8:43 PM 0 comments Simba walianza kwa kulisakama lango la Njombe ni uimara wa mlinda mlango wa Njombe ndio ulisaidia simba kuchelewa kupata goli mapem...
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA NJOMBE MJI LEO UWANJA WA UHURU Unknown 3:38 AM 0 comments Kikosi kinachoanza: Aishi Manula,Erasto Nyoni,Zimbwe Jr,Juuko,Mlipili, Mkude,Mzamiru,Niyonzima,Kichuya,Okwi,Mavugo Wachezaji wa...
ligi kuu tanzania bara kuendeleo leo Simba vs Njombe, uhuru, Ndanda vs Singida Unknown 9:39 PM 0 comments Michezo ya Jumamosi itakutanisha timu za Mbao na Azam kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati Lipuli itakuwa mwenyeji wa Maj...
NDANDA WAAHIDI USHINDI MNONO SIKU YA KESHO DHIDI YA MATAJIRI SINGIDA UNITED Unknown 6:49 AM 0 comments Timu ya ndanda ya mkoani mtwara leo mchana imewatoa hofu wadau na mashabiki wa timu hiyo popote pale walipo kuwa lazima Singida Utd ...
YANGA IMEANZA SAFARI YA KUSAKA POINT TATU KAMBARAGE Unknown 6:12 AM 0 comments Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara timu ya Yanga mchana huu wameelekea mkoani Shinyanga wakitokea Tabora ambapo waliweka kamb...
MRITHI WA MAYANJA HADHARANI NI MASOUD DJUMA RAIA WA BURUNDI Unknown 6:15 AM 0 comments Hatimae kitendawili cha nani kuirithi mikoba ya Mayanja ndani ya Simba Sc kimeshatatuliwa baada ya kumpa mkataba mrudi Masuod Juma amba...
Mbao FC sasa wanamiliki gari lao rasmi kuanzia leo october 18,2018 Unknown 6:53 AM 0 comments Timu ya mbao fc ya jijini Mwanza leo imekabidhiwa gari lake na mdhamini wake mkuu Kampuni ya GF Trucks & Equipment kwa ajili safari ...
MAYANJA AACHIA NGAZI SIMBA, KISA MATATIZO YA KIFAMILIA Unknown 5:38 AM 0 comments Kocha msaidizi wa timu ya simba mganda Jackson Mayanja ameachana na kazi ya kuinoa simba. Kwa mujibu wa Chanzo cha habari hii kimeele...
Yanga warudi kileleni, Ajib na Chirwa we acha tu, Sare zatawala michezo minne jana Unknown 8:42 PM 0 comments Kagera 1 – 2 Yanga Magoli ya Obrey Chirwa na Ibrahim Ajib , na wawili hao kila mmoja alimtengenezea mwenzake goli. Kagera suga...
NDANDA YAWAKANA WAZAMINI NA KUONDOA MABANGO YAO UWANJANI Unknown 8:28 AM 0 comments Timu ya Ndanda ya mkoani mtwara imewakana wazamini wake wawili kampuni ya kiboko na Maxcom Lmtd. Hayo yameibuka baada ya wadau kuanz...
Tshishimbi jukwaani mechi ijayo kati ya Yanga na Mtibwa Unknown 6:38 AM 0 comments Kiungo mkabaji Papy Tshishimbi ataukosa mchezo ujao wakati Yanga itakapoivaa Mtibwa Sugar. Yanga itaivaa Mtibwa Sugar katika mechi ya L...