Mabingwa wa soka Afrika Mashariki na
Kati timu ya Azam FC jana usiku wameifunga timu ya Ruvu Shooting ya mkoani
pwani goli 1 kwa 0 na kukalia kiti cha uongozi wa ligi.
Kwa sasa Azam wamefikisha pointi 19
na kuipiku Yanga ambayo ina pointi 17 baada ya kucheza micheo 9.
Goli la Azam FC limefungwa na Yahya
Zayd kwenye dakika za majeruhi.
0 Comment untuk "Azam FC waishusha Simba kileleni, ushindi dhidi ya Ruvu waipata Usukani"