Mchezaji Bora wa Ligi Kuu
ni MOHAMMED HUSSEIN – Simba
amewashinda
SIMON MSUVA - Yanga
AISHI MANULA - Azam
SHIZA KICHUYA - Simba
HARUNA NIYONZIMA - Yanga
Mfungaji bora, MSUVA na A MUSSA
Kipa bora niAISHIMANULA – Azam
amewashinda
Owen CHAIMA - Mbeya City
Juma KASEJA - Kagera Sugar
Kocha bora ni MECKY MEXIME - Kagera Sugar
amewashinda
Joseph OMOG - Simba
Ettiene NDAYIRAGIJE - Mbao
Mchezaji bora wa kigeni HARUNA NIYONZIMA – Yanga amewashinda
METHOD MWANJALE - Simba
YUSUPH NDIKUMANA - Mbao
Mchezaji bora anayechipukia ni MBARAKA ABEID YUSUPH -
Kagera Sugar amewashinda
Shaaban IDD - Azam
Mohammed ISSA - Mtibwa
Goli bora la msimu ni goli la Kichuya dhidi ya Yanga
Wachezaji 11 bora wa msimu – VPL XI 2016/17
1. Aishi Manula
2. Salum Kimenya
3. Mohamed Hussein
4. Mohamed Yakubu-Azam
5. Method Mwanjale
6. Kenny Ally-Mbeya City
7. Simon Msuva-Yanga
8. Haruna Niyonzima
9. Abdulrahman Musa
10. Mbaraka Yusuf
11. Shiza Kichuya
Millionaire Ads
TUZO YA ISMAIL KHALFAN – (U-20)
alipewa SHAABAN IDD – wa Azam akiwashinda:
ABDALAH MASOUD - Azam
MOSSES KITAMBI - Simba
TUZO YA HESHIMA alipewa:
KITWANA MANARA mchezaji wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania.
0 Comment untuk "Zimbwe JR mchezaji bora ligi kuu Tanzania bara 2016/2017, Niyonzima mchezaji bora wa kigeni, wachezaji 11 bora wa ligi watajwa"