Millionaire  Ads

Matokeo ya ligi kuu ya England (EPL) siku ya jana August 12 pamoja na Ratiba ya leo juapili august 13


Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England jana wameanza vibaya kampeni yao ya kutetea taji lao baada ya kukubali kichapo ndani ya uwanja wake wa nyumbani wa Stamford Bridge kutoka kwa Burnley.
Pamoja na kichapo hicho Chelsea wamepata kadi mbili nyekundu kwa wachezaji wao nyota.
Kadi hizo walipewa Fabrigas na beki tegemeo kwa sasa Cahil.
Mpaka sasa Chelsea ipo nafasi ya 16 baada ya mchezo huo mmoja huku timu iliyopanda daraja msimu huu ya Huddersfield Town ikionja utamu wa kukalia kiti cha uongozi wa ligi kuu ya England.

Matokeo ni kama yanavyoonekana hapo chini:
Watford 3 - 3 Liverpool
Chelsea 2 - 3 Burnley

Crystal Palace 0 - 3 Huddersfield Town
Everton 1 - 0 Stoke City
Southampton 0 - 0 Swansea City
West Bromwich Albion 1 - 0 AFC Bournemouth
Brighton & Hove Albion 0 - 2 Manchester City

RATIBA YA LEO JUMAPILI AUGUST 13, 2017:
ENGLAND - PREMIER LEAGUE AUGUST 13
Newcastle United vs Tottenham Hotspur 15:30

Manchester United vs West Ham United 18:00
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Matokeo ya ligi kuu ya England (EPL) siku ya jana August 12 pamoja na Ratiba ya leo juapili august 13"

Back To Top