Hii hapa ratiba ya azam federation cup, Yanga yaikwepa mbao Unknown 12:43 AM 1 comments Leo majira ya saa tano asbuh imefanyika drop ya kupanga nani acheze na nani katika kutafta timu 16 zitakazoingia kwenye kombe la shirikisho ...
AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO Unknown 6:52 AM 0 comments Michuano ya kombe la Shirikisho Tanzania inaanza rasmi kutimua vumbi kesho katika viwanja mbali nchini. Michuano hiyo ambayo bingwa...
SILABU WAPATA AJALI WAKIWA SAFARINI KUELEKEA MKOANI PWANI KUWAKABILI KISARAWE UTD Unknown 6:33 AM 0 comments Mabingwa wa soka mkoa wa Mtwara timu ya Silabu leo majira ya Asubhi imepata ajali ikiwa inaelekea mkoani pwani kucheza mchezo wake wa a...
Simba Bingwa Azam Sports Federation, Rasmi sasa wamekuwa wa kimataifa, waifunga mbao 2 - 1 Unknown 9:28 AM 0 comments Timu ya simba leo imemaliza ukame wa kukaa nje kwenye mashindano ya kimataifa baada ya kupata tiketi ya kucheza kombe la shirikisho tangu...
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa fainali, Kombe la FA, leo. Unknown 4:35 AM 0 comments 1. Daniel Agyei 2. Besala Bukungu 3. Mohammed Hussein 4. James Kotei 5. Juuko Murshid 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuy...
Simba SC vs Mbao FC, Fainal ya ASFC kuchezeshwa na mwamuzi toka Dodoma Unknown 6:16 AM 0 comments Fainal ya ASFC kuchezeshwa na mwamuzi toka Dodoma Kwa mujibu wa Afisa habari na mawasiliano wa bwana Alfred Lucas TFF imemteua Ahmed ...
Yanga Chalii CCM Kirumba, mbao yanusa michuano ya kimataifa 2017/2018, yaibanjua Yanga 1 - 0 Unknown 11:32 AM 0 comments kama una tangazo lako tafadhali tuwasiliane ili tukutangazie kwa bei nafuu kabisa, DMrutu ni kwa ajili ya watu wote, karibuni sana Ik...
Simba yaitungua azam goli 1 kwa bila na kutinga fainali ya azam sports federation cup 2016/2017 Unknown 2:03 AM 0 comments
Azam vs Ndanda April 5, Yanga vs Prisons April 22 robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) Unknown 11:51 AM 0 comments Ratiba ya kombe la shirikisho Azam confederation Cup kati ya Azam na Ndanda toka mkoani mtwara katika hatua ya robo fainali sasa kupigwa...
Madini FC 0 - 1 Simba, Simba yakata tiketi ya Nusu fainali kombe la shirikisho Azam confederation Cup Unknown 8:46 AM 0 comments Timu ya Simba kutoka jiji Dar es salaam imekata tiketi ya kuingia hatua ya nusu fainali baada ya leo kuichapa timu ya Madini FC ya mjin...
Ratiba robo fainali Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imetolewa leo na michezo miwili kupigwa march 18. Unknown 7:57 AM 0 comments Ratiba hiyo iliyotelewa mapema leo imepangwa kama ifuatvyo: March 18 Madini fc wataikaribisha Simba Sc katika dimba la Sheikh Amri A...
Yanga vs Kiluvya fc kesho Taifa 16 bora ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Sports Federation Cup) Unknown 8:58 AM 0 comments Kilvya na Yanga kesho kuamua ni timu gani iingie robo fainali kuungana na timu saba ambazo zimefuzu kwa hatua hiyo. Bingwa wa michu...
Azam Federation Cup hatua ya 16 Bora ratiba yatangazwa michezo 8 kufanyika kwa siku tatu tofauti Unknown 11:16 AM 0 comments Michuano ya kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) hatua ya 16 bora kutimua vumbi February 24 na February 26 na march 7 katik...
Rufaa ya polisi Dar es Salaam dhidi ya mchezaji wa simba Novalty Lufunga kucheza huku akiwa na kadi nyekundu yagonga ukuta Unknown 7:27 AM 0 comments Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania limeitupilia mbali rufaa ya timu ya polisi Dar es salaam waliokata kutaka wapewe ushindi k...