Ikicheza kwa kujiamini na kufanya
mashambulizi ya mara kwa mara simba imefanikiwa kuitungua Azam na kuwaka hai
matumaini ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu wa 2017/2018.
Goli pekee la kiungo mwenye nguvu
Mohamedi Ibrahim ‘MO’ ndio lililoipeleka simba fainali na kumsubiri mshindi
kati ya Mbao na Yanga mchezo utakaopigwa katika dimba la ccm kirumba mida ya
saa kumi.
Endapo Yanga itaifunga Mbao basi
timu ya simba na Yanga ndio zitakazoiwakilisha nchi katika mashindano ya
kimataifa msimu ujao.
Mchezo wa jana kulitokea kadi mbili
nyekundu moja kwa Azam ‘sureboy’ na kwa upande wa simba ‘MO’
0 Comment untuk "Simba yaitungua azam goli 1 kwa bila na kutinga fainali ya azam sports federation cup 2016/2017"