kama una tangazo lako tafadhali tuwasiliane ili tukutangazie kwa bei nafuu kabisa, DMrutu ni kwa ajili ya watu wote, karibuni sana
Endapo timu mbili za jiji la Manchester
zitapata ushindi katika michezo yao ya siku ya leo ni dhahiri Liverpool itarudi
nyuma kwa nafasi mbili, Msimamo upo chini.
Mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni tottenham vs Arsenal, ikumbukwe Tottenham ndio timu inayoisumbua Chelsea katika mbio za ubingwa.
Ratiba
14:00Manchester United vs Swansea
City
16:05Everton vs Chelsea
16:05Middlesbrough vs Manchester
City
18:30Tottenham Hotspur vs Arsenal
kama una tangazo lako tafadhali tuwasiliane ili tukutangazie kwa bei nafuu kabisa, DMrutu ni kwa ajili ya watu wote, karibuni sana
0 Comment untuk "EPL RATIBA LEO JUMAPILITAREHE 30 APRIL, MAN U NA MAN C KUITOA LIVERPOOL BIG 4 LEO?"