Millionaire  Ads

Takwimu fupi tangu mwaka 2010 kwa mwezi oktoba baina ya Simba na Yanga



Takwimu fupi tangu mwaka 2010 kwa mwezi oktoba baina ya Simba na yanga
zimekutana mara 6
yanga kashinda mara 2
simba kashinda mara 0
sare michezo 4
 OKTOBA 16, 2010:
Yanga Vs Simba
1-0
MFUNGAJI: Jerry Tegete dk 70
 OKTOBA 29, 2011
Yanga 1-0 Simba
MFUNGAJI: Davies Mwape dakika ya 75
 OKTOBA 3, 2012
Simba 1-1 Yanga SC
WAFUNGAJI:
Simba SC: Amri Kiemba dk3
Yanga SC: Said Bahanuzi dk65
 OKTOBA 20, 2013
Yanga SC 3-3 Simba SC
WAFUNGAJI:
Yanga SC: Mrisho Ngassa dk15, Hamisi Kiiza dk36 na 45
Simba SC: Betram Mombeki dk54, Joseph Owino dk58 na Gilbert Kaze dk85.
 OKTOBA 18, 2014
Simba SC 0-0 Yanga SC
(SEPTEMBA 26, 2015
Yanga SC 2-0 Simba SC

WAFUNGAJI:
Yanga SC: Amissi Tambwe dk44 na Malimi Busungu dk79)
 OKTOBA 1, 2016
Simba 1-1 Yanga
WAFUNGAJI:
Yanga: Amissi Tambwe dk26
Simba: Shiza Kichuya dk87
Yanga kashinda mara 2 sare 4
Oktoba 28,2017
Yanga vs Simba ?
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Takwimu fupi tangu mwaka 2010 kwa mwezi oktoba baina ya Simba na Yanga"

Back To Top