kama una tangazo lako tafadhali tuwasiliane ili tukutangazie kwa bei nafuu kabisa, DMrutu ni kwa ajili ya watu wote, karibuni sana
Ikicheza kwa tahadhari kubwa mbele
ya mashabiki wake lukuki waliokuja kusapoti timu yao, timu ya Mbao FC imetinga
Fainali ya michuano ya Kombe la shirikisho Tanzania baada ya kumvua bingwa
mtetezi wa kombe hilo Yanga kwa goli la kujifunga Kutokana na mlinzi wake wa
kati ‘Dante’ kuunganisha majaro safi toka upande wa kulia.
Kwa Matokeo hayo mbao Fc watamenyana
na Simba katika mchezo ambao mshindi wake anaiwakilisha nchi kwenye michuano ya
kombe la shirikisho barani Afrika pia mshindi hulamba Tsh milioni 50.
kama una tangazo lako tafadhali tuwasiliane ili tukutangazie kwa bei nafuu kabisa, DMrutu ni kwa ajili ya watu wote, karibuni sana
Millionaire Ads
kama una tangazo lako tafadhali tuwasiliane ili tukutangazie kwa bei nafuu kabisa, DMrutu ni kwa ajili ya watu wote, karibuni sana
0 Comment untuk "Yanga Chalii CCM Kirumba, mbao yanusa michuano ya kimataifa 2017/2018, yaibanjua Yanga 1 - 0"