Kilvya na Yanga kesho kuamua ni timu gani iingie robo
fainali kuungana na timu saba ambazo zimefuzu kwa hatua hiyo.
Bingwa wa michuano hii ndie anaeiwakilisha nchi katika
michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika, pia hujinyakulia kitita cha
shilingi milion 50 za kitanzania.
Timu saba ambazo zimefuzu kwa hatua ya robo fainali ni Tanzania
Prisons ya Mbeya, Ndanda FC ya Mtwara, Azam FC ya Dar es Salaam, Madini ya
Arusha, Simba ya Dar es Salaam, Mbao FC ya Mwanza, Kagera Sugar ya Bukoba.
Millionaire Ads
0 Comment untuk " Yanga vs Kiluvya fc kesho Taifa 16 bora ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Sports Federation Cup)"