Timu ya simba leo imemaliza ukame wa kukaa nje kwenye mashindano ya kimataifa baada ya kupata tiketi ya kucheza kombe la shirikisho tangu mwaka 2013 ilivyofanya hivyo.
pongezi ziende kwa Blagnon Fredrick na Shiza Kichuya kwa kuipatia simba ushindi huo wa goli 2 - 1.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Simba Bingwa Azam Sports Federation, Rasmi sasa wamekuwa wa kimataifa, waifunga mbao 2 - 1"