Timu ya Simba kutoka jiji Dar es
salaam imekata tiketi ya kuingia hatua ya nusu fainali baada ya leo kuichapa
timu ya Madini FC ya mjini Arusha kwa goli 1 kwa 0.
Goli pekee la Simba limefungwa na
mchezaji toka taifa la Burundi Mavugo dakika ya 55 ya mchezo huo.
0 Comment untuk "Madini FC 0 - 1 Simba, Simba yakata tiketi ya Nusu fainali kombe la shirikisho Azam confederation Cup"