Millionaire  Ads

Italy - Super Cup Leo ni Juventus vs Lazio saa 21:45, takwimu zinambeba Juve, angalia takwimu hapa



Leo ndio ufunguzi wa ligi kuu ya Italy unafanyika rasmi pale miamba ya soka nchini Italia itakapoonyeshana kazi katika kuwania taji hilo la ufunguzi la ligi
Tukiangalia michezo ya hivi karibuni iliyozikutanisha timu hizi mbili kwenye mashindano mbalimbali inaonyesha Lazio amefungwa michezo 5 mfululizo:

Tarehe17/05/2017  kwenye Coppa Italia  
Juventus 2 – 0 Lazio (Dani Alves 12', L. Bonucci 24')
Tarehe 22/01/2017 kwenye Seria A(2016/17)
Juventus 2 – 0 Lazio (P Dybala (5’), G Higuain (16’))
Tarehe 27/08/2016 kwenye Seria A (2016/17)
Lazio 0 – 1 Juventus (S. Khedira 66')
Tarehe 20/4/2016  kwenye Serie A (2015/2016)
Juventus  3 – 0 Lazio (M. Mandžukić (39) P. Dybala (52 pen) P. Dybala (64))
Tarehe 20/01/2016 kwenye Coppa Italia 2015/2016  
Lazio 0 – 1 Juventus (S. Lichtsteiner (66))
Mchezo utapigwa hapa:
Uwanja:   Stadio Olimpico, Rome, Italy
Refarii:  Davide Massa

Tittle:  Supercoppa Italiana
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme
0 Comment untuk "Italy - Super Cup Leo ni Juventus vs Lazio saa 21:45, takwimu zinambeba Juve, angalia takwimu hapa"

Back To Top