FT
MCHEZO WA KIRAFIKI
SIMBA 1- 0 MTIBWA
1' Simba wanakosa goli mpira unagonga mwamba pale.
2' mbonde , kotei, mwanjali, kichuya all shomari wanapoteza mpira simba.
4' zinapigwa one two nyingi hapa na simba lakini mpira unakuwa ni golikiki.5' ali makarani kwake idrsa rashidi kros kule lalalaaaa goo wanakosa hapa mtibwa, niyonzima anaanza mambo yake.
11' boco anapaisha yeye na goli hatari hapaaaaa
17' Ali Shomar anapiga kross boco inakuwa mboga kwa shabani kado
18' niyonzima anawekwa chini okwi anajaribu palee unababatiza mtu. mtibwa sasa wanapiga one two saleh hamis, issa Rashid , shabani nditi kanoni, faulo kuelekea Simba
21' Salum Ramadhani anawekwa chini
22' okwi anadaka kado hapa
25' Ali makarani anapewa kadi ya njano, Ali Shomariii anatia krosi kuleeee hatareeee wanaokoa mabeki wa Mtibwa kipa ameumia
29' kado ameshindwa kuendelea na mchezo anaingia Abdallah makangana hii ni baada ya kugongana na John Boco
32' Mohamedi issa anapiga kuleee hatari anaokoa hapa Nduda, Mohamed issa jezi namba 10 anaonyesha uwezo wa hali ya juu
36' wanapiga mtibwa kuleee gooooo la anaokoa nduda hatari kweli kweli mtibwa wameamka sasa
38, mohamed Isa anamcheza faulo hapa mchezo umebalance
41, Mohamed issa anatakata kwelikweli hapa anaangushwa, wanaanza Simba kanoni antia jaro kulee kona
45' Okwiiiiiiii goooooooooooooooooooooooooooo pasi safi ya john Boco
45+3 kichuyaaaaaaaaa kipa unamtoka wanaokoa mabeki
50 Okwi yupo chini ameumia na anafanyiwa huduma ya kwanza
56' Niyonzima faulo anafanyiwa john Boco
64 Simba wametawala mabadiliko anaingi kelvin Sabato kiduku
68' Simba wanapata kona lakini haina mazara
71' Simba wanategea hapa na kukosa nafasi za wazi, Ndemla anaingi kichuya anatoka
Boco out Mavugo in , Mkude kaingia katoka Mzamiru Yasin

0 Comment untuk "LIVE: KUTOKA UWANJA WA TAIFA, SIMBA 1 - 0 MTIBWA FT"