Timu ya genk leo
imeiadhibu timu ya Antwerp kwa goli 5 – 3 ikiwa ugenini.
Magoli ya Genk
yamewekwa kimiani na Mbwana Samatta 8’ na 41’, mengine yakifungwa na
Leandro Trossard 16’,
Siebe Schrijvers 21 na
Dino Arslanagic(59’ OG)angalia magoli hapa
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Samatta afungua ukurasa wa mabao Genk atupia mbili Genk ikiua 5 – 3, tizama mgoli yote hapa hapa"