Samatta afungua ukurasa wa mabao Genk atupia mbili Genk ikiua 5 – 3, tizama mgoli yote hapa hapa Unknown 7:42 AM 0 comments Timu ya genk leo imeiadhibu timu ya Antwerp kwa goli 5 – 3 ikiwa ugenini. Magoli ya Genk yamewekwa kimiani na Mbwana Samatta 8’ na 41...
KRC GENK ya Mbwana Samatta yachezea kichapo, Samatta akilamba kadi ya njano Unknown 8:47 PM 0 comments Timu ya Genk ya Ubeligiji jana usiku imepoteza mchezo wake wa ligi kuu nchini humo maarufu kama Belgium - First Division A kwa kuta...
Samatta aliamsha dude Belgium - First Division A, atupia na kutengeneza moja Unknown 9:37 PM 0 comments Mtanzania Mbwana Samatta jana usiku alifanya kile kinachotabiriwa na wengi huenda akawa mfungaji bora wa Belgium baada ya jana kuan...
Mbwana Samatta kibaruani leo, kwa mara ya kwanza kwenye ligi na jezi namba 10. Unknown 2:15 AM 0 comments Mtanzania Mbwana Samatta leo, kwa mara ya kwanza kwenye ligi akiwa na jezi namba 10, ataanza kufanya yake kwenye ligi kuu ya Belgium alm...
RATIBA YA KRC GENK YA SAMATTA KWA MSIMU UJAO NA PRE SEASON Unknown 8:55 AM 0 comments 29/07 om 20u00: KRC Genk - Waasland Beveren 04/08 om 20u30: Standard - KRC Genk 13/08 om 14u30: Antwerp - KRC Genk 19-20/08: KRC...