Mtanzania Mbwana Samatta leo, kwa
mara ya kwanza kwenye ligi akiwa na jezi namba 10, ataanza kufanya yake kwenye ligi kuu ya Belgium almarufu kama Belgium - First Division A.
Ligi hiyo imeanza rasmi jana na
kushudia timu ya Anderlecht ikitoka sare ya bila kufungana na Antwerp.
Muda ni kwa saa za Afrika Mashariki.
Belgium - First Division A July 29
Lokeren vs Club Brugge 19:00
Eupen vs Zulte-Waregem 21:00
Genk vs Waasland-Beveren 21:00
Sporting Charleroi vs Kortrijk 21:30
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Mbwana Samatta kibaruani leo, kwa mara ya kwanza kwenye ligi na jezi namba 10."