.
Mshambuliaji wa kimataifa raia wa
Uganda Emmanuel Okwi leo asbuhi ameanza rasmi mazoezi na timu yake ya Simba.
Okwi ambae jana alisafiri kutokea
nchini kwao Uganda Kuelekea Afrika kusini alitua salama na leo amewahi mazoezi
ya asbuhi kwa maandalizi ya michuano mbalimbali.
0 Comment untuk "Okwi Aanza mazoezi Rasmi na Simba, picha kibao za Okwi akiwa mazoezini"