Mchezaji
wa timu ya Mwadui FC Hassan Kabunda ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwabwaga
wachezaji wawili wote kutoka simba Laudit Mavugo na Ibrahim Ajib.
Tuzo
hiyo ambayo hutolewa kila mwezi na wazamini wa ligi hiyo kampuni ya Vodacom
hutolewa kwa mchezaji atakefanya vyema kwa mwezi husika.
Kabunda
katika mwezi wa pili amefunga magoli manne kati ya mabao sita ambayo timu ya Mwadui
ilishinda.
Kwa
mwezi wa pili kabunda ameisaidia timu yake kuvuna pointi 6 katika michezo matatu.
Pia
upande wa nidhamu Kabunda hajapata adhabu yoyote katika michezo hiyo matatu.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Hassan Kabunda mchezaji bora VPL mwezi Feb 2017"