Kikosi
cha Mabingwa ligi kuu Tanzania bara Yanga leo alhamisi march 16 kitaelekea
nchini Zambia kwa ndege ya shirika la Kenya Airways .
Katika
msasafara huo Yanga itaondoka bila wachezaji wake wakutumainiwa ambao ni
majeruhi, wachezaji ambao hawataambata na timu Kuelekea Zambia ni Pamoja na Donald
Dombo Ngoma, Amiss Jocelyn Tambwe,Malimi Busungu na
Matheo
Simon Anthony
Msafara
wa Yanga utakuwa na jumla ya wachezaji 20 pamoja na viongozi na benchi la
ufundi
Timu
ya Yanga itawakabili Zanaco katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa
barani Afrika, ikumbukwe katika mchezo uliopita yanga walikubali kutoka sare ya
1 – 1 hivyo kuufanya mchezo wa marudiano kuwa mgumu sana kwa upande wa yanga.
Mchezo
wa marudiano utapigwa jumamosi march 18 huko Zambia.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Yanga wasafiri kwenda Zambia bila Ngoma, Tambwe"