Kiongozi
wa mpira nchini Madagascar Ahmad Ahmad amembwaga Rais CAF aliedumu kwa 29 Issa
Hayatou katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa Rais wa shirikisho la Mpira
barani Afrika CAF.
Ahmad
amepata kura 34 wakati Hayatou amepata kura 20, uchaguzi uliofanyika nchini
Ethiopia
“Ukitaka
kufanya jambo fanya” alisema Ahmad “na mimi nimefanya”
Ahmad
(57) ambae kabla ya kuwa rais wa chama cha soka cha Madagascar 2003 aliwahi
kuwa mchezaji na badae akawa mwalimu(kocha).
wakati huo huo Zanzibar nayo Rasmi yawa mwanachama katika shirikisho hilo
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Ahmad Ahmad rais mpya CAF ashinda kwa kishindo,ambwaga Issa Hayatou "