TRA
yafunga ofisi za Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF kwa kushindwa kutimiza
mkataba
Mkurugenzi
wa Huduma na elimu kwa mlipa kodi wa TRA bwana Richard Kayombo ndie alithibitisha hilo.
“Ni
kweli tumezifunga na hiyo ni hatua ya mwisho kwetu kufanya hivyo. Tulikubaliana
kulipa tunachowadai na muda umepita,” alisema.
TRA
wametumia kampuni ya udalali iitwayo YONO Auction.
YONO
iliwaamuru wafanyakazi hao kuacha kila kitu.
TRA
inawadai TFF mapato kutoka kwa kocha mkuu wa zamani wa Tanzania na kodi ya
mchezo kati ya Tanzania na Brazil.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) limezifungia Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)."