Polisi Dodoma 0 - 3 Simba , 11 march 2017 Mwandishi Unknown Saturday, March 11, 2017 Vinara wa ligi kuu Tanzania bara jana katika dimba la jamhuri mkoani Dodoma walicheza mchezo wa kirafiki na timu ya Polisi na kuishushia kichapo kitakatifu cha goli 3 – 0. Magoli ya simba yalifungwa na Mavugo, Kichuya na Luzio. Millionaire Ads Share : Facebook Twitter Google+ Lintasme Previous LIVE MATCH: Azam 1 - 0 Mbabane Swallows (FT) Next Ratiba ya Serengeti Boys Yabadilishwa
0 Comment untuk " Polisi Dodoma 0 - 3 Simba , 11 march 2017"