Kiungo mkabaji Papy Tshishimbi ataukosa mchezo ujao wakati Yanga itakapoivaa Mtibwa Sugar.
Yanga itaivaa Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumamosi ijayo September 30.
Ataukosa mchezo huo baada ya kupata kadi tatu za njano.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Tshishimbi jukwaani mechi ijayo kati ya Yanga na Mtibwa"