Ligi kuu Tanzania Bara kuendelea leo
jumamosi, Yanga bila Tambwe kuivaa Ndanda Taifa.
Raundi ya nne ligi kuu Tanzania bara
inaendelea leo baada ya alhamisi kuishuhudia timu ya Mbao ya Mwanza ikitoka
sare ya 2 – 2 na kikosi cha Simba.
Katika Uwanja wa taifa Ndanda ambao
wameanza kuimarika baada ya kuvuna pointi nne mkoani Mbeya wanakutana na timu
ya Yanga ambayo bado haijatengamaa kisawasawa katika dimba la Uhuru jijini Dar
es salaam.
Wachezaji wote wa yanga wote wapo
kamili isipokuwa Tambwe peke yake.
Majimaji vs Njombe mji
Mwadui Vs Prisons.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Ligi kuu Tanzania Bara kuendelea leo jumamosi, Yanga bila Tambwe kuivaa Ndanda Taifa"