Millionaire  Ads

Yanga warudi kileleni, Ajib na Chirwa we acha tu, Sare zatawala michezo minne jana



Kagera 1 – 2 Yanga
Magoli ya Obrey Chirwa na Ibrahim Ajib , na wawili hao kila mmoja alimtengenezea mwenzake goli.

Kagera sugar 1 2 Yanga.
Mwadui 1 1 Azam .
Ndanda 1 1 Majimaji .
Ruvu Shooting 1 1 Singida United.
Njombe Mji 0 0 Lipuli.
Kwa Matokeo ya jana Yanga imerudi kileleni kwa idadi nzuri ya magoli ya kufunga na kufungwa mbele ya Azam.

Yanga imefikisha pointi 12 sawa na Azam . 

Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Yanga warudi kileleni, Ajib na Chirwa we acha tu, Sare zatawala michezo minne jana"

Back To Top