Timu ya mbao fc ya jijini Mwanza leo
imekabidhiwa gari lake na mdhamini wake mkuu Kampuni ya GF Trucks & Equipment kwa ajili safari
zake mbalimbali.
Kampuni
ya GF Trucks & Equipment iliingia mkataba na timu ya mbao mapema August
25 mwaka na Miongoni mwa Ahadi zake ilikuwa na kuipatia timu ya Mbao basi kwa
ajili ya shughuli mbalimbali ndani ya timu hiyo.
Makabidhiano
hayo yamefanyika leo mbele naibu waziri wa nyumba na maendeleo ya makazi
mheshimiwa Angella Mabula
0 Comment untuk "Mbao FC sasa wanamiliki gari lao rasmi kuanzia leo october 18,2018"