Kocha msaidizi wa timu ya simba
mganda Jackson Mayanja ameachana na kazi ya kuinoa simba.
Kwa mujibu wa Chanzo cha habari hii
kimeeleza kuwa Mayanja ameomba akae pembeni Kutokana na matatizo yake ya
kifamilia.
Chanzo hicho kilimkariri mayanja
akisema “Ni matatizo ya kifamilia
lakini suala hilo siwezi kulizungumzia kwa sasa”
Millionaire Ads
0 Comment untuk "MAYANJA AACHIA NGAZI SIMBA, KISA MATATIZO YA KIFAMILIA"