Cristiano Ronaldo jana aliinusuru
real Madrid na janga la kufungwa katika ligi ya mabingwa barani Ulaya baada ya
kufunga goli kwa njia ya mkwaju wa penati ikiwa ni dakika ya 43.
Tottenham Hotspur ndio walikuwa wa
kwanza kupata goli kufuatia beki wa Madrid Raphael Varane kujifunga katika harakati
za kutaka kuokoa hekaheka langoni mwao kwenye dakika ya 28.
Mpaka mwisho wa mchezo Madrid 1 – 1 Tottenham.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "REAL MADRID YABANWA ESTADIO SANTIAGO BERNABEU NA TOTTENHAM HOTSPUR."