Timu ya Liverpool ya England jana
imefanya mauaji ya kutishia timu zingine baada ya kuvuna ushindi wa goli 7 – 0 dhidi
ya Marbor ikiwa ugenini.
Magoli ya Liverpool yamefungwa na
Roberto Firmino (4’,54’)
Philippe Coutinho (13’)
Mohamed Salah (40’,45’)
Alex Oxlade-Chamberlain (86’)
Trent Alexander-Arnold(90’).
Millionaire Ads
Philippe Coutinho (13’)
Mohamed Salah (40’,45’)
Alex Oxlade-Chamberlain (86’)
Trent Alexander-Arnold(90’).
Matokeo mengine ya kundi ya kundi E
Spartak Moscow 5 - 1 Sevilla
Msimamo unaonekana hivi kwa sasa:
0 Comment untuk "LIVERPOOL YAFANYA MAUAJI YA KUTISHA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA YAICHAKAZA MARBOR 7 - 0"