Michezo ya Jumamosi itakutanisha
timu za Mbao na Azam kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati Lipuli
itakuwa mwenyeji wa Majimaji ya Songea kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa
ilihali Ruvu Shooting watakuwa wageni wa Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine
jijini Mbeya.
Jumamosi hiyo hiyo Simba yenye
mabadiliko kidogo kwenye benchi la Ufundi, itawaalika Njombe Mji kwenye Uwanja
wa Uhuru, Dar es Salaam huku Ndanda ikicheza na Singida United kwenye Uwanja wa
Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
Wakati Jumamosi hiyohiyo tena,
Mtibwa Sugar wakicheza na Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye Uwanja wa Manungu
mkoani Morogoro
Millionaire Ads
0 Comment untuk "ligi kuu tanzania bara kuendeleo leo Simba vs Njombe, uhuru, Ndanda vs Singida"