Millionaire  Ads

TP Mazembe vs FUS Rabat, mechi ya kisasi leo, je Mazembe kuweka rekodi?



Mechi ya pili ya nusu fainali kombe la shirikisho barani Africa kupigwa tena leo, FUS Rabat dhidi ya TP Mazembe, saa 5:30 usiku.

Mechi ya kwanza ya nusu fainali TP Mazembe akiwa nyumbani DRC Congo alipata ushindi wa goli 1 – 0 dhidi ya FUS Rabat, sasa Fus Rabat yupo nyumbani kwao Morocco je atapindua matokeo na kwenda fainali ama TP mazembe ataendeleza ushindi na kwenda fainali kwa mara ya pili mfululizo?
Majibu yote tutayapata baada ya dakika 90.
Nusu fainali nyingine ni hapo kesho kati ya
Club Africain vs Supersport United FC Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "TP Mazembe vs FUS Rabat, mechi ya kisasi leo, je Mazembe kuweka rekodi?"

Back To Top