Millionaire  Ads

Mbeya City vs Simba mtoto hatumwi dukani

Simba ina shuka kwenye dimba LA Sokoine kutafta pointi 3 muhimu mbele ya wabishi wa mji wa mbeya Mbeya City.
Simba wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa wapo nafasi ya 4 baada ya michezo 8 ilyocheza mchezo mmoja pungufu ya vinara Azam Fc.
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment untuk "Mbeya City vs Simba mtoto hatumwi dukani"

Back To Top