Kwa msomaji wetu mpya hii ni makala muendelezo wa historia
kati ya Liverpool vs Manchester United katika michezo iliyowakutanisha wao(head
to head) katika ligi kuu ya EPL tangu kuasisiwa kwa jina la EPL.
Tutakuletea vikosi vilivyocheza refa aliechezesha, idadi ya magoli,
wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri
vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako.
Siku
|
Timu
|
Uwanja
|
Refa
|
Washabiki
|
Matokeo
|
March
06, 1993
|
Liverpool
Vs
Manchester
United
|
Anfield
|
Roger
Milford
|
44,374
|
1 -
2
|
WAFUNGAJI
kwa upande wa man u ni Mark Hughes 42’ na Brian McClair 56’
kwa upande wa Liverpool ni
Ian Rush 50’
VIKOSI VILIVYOANZA
Liverpool
|
Manchester
united
|
David James
Stig Inge Bjornebye
Rob Jones
Steve Nicol
Mark Wright
Don Hutchison
Steve McManaman
Jamie Redknapp
Paul Stewart alipumzishwa 44’
John Barnes
Mark Walters alipumzishwa 78’
|
Peter Schmeichel
Paul Parker
Steve Bruce
Gary Pallister
Denis Irwin
Ryan Giggs
Paul Ince
Andrei Kanchelskis
Brian McClair
Lee Sharpe
Mark Hughes
Mark Walters
|
WACHEZAJI WA AKIBA
Liverpool
|
Manchester united
|
Mike Hooper
David Burrows aliingia 78’
Ian Rush aliingia 44’
|
Les Sealey
rDion Dublin
Mike Phelan
|
KADI ZA NJANO
Man u 0
Liverpool 0
KADI ZA NYEKUNDU
Man u 0
Liverpool 0
Tutaendelea
kesho na makala yetu tunaomba ushauri wako ili kuboresha huduma kwa ubora
uupendao wewe.
0 Comment untuk "HISTORIA MAN U VS LIVERPOOL LIGI KUU YA UINGEREZA(EPL) SEHEMU YA PILI "