
Simba ikicheza kwa tahadhari imekubali kipigo cha goli moja
kwa sifuri kutoka kwa Azam fc katika mchezo mkali wa kuvutia kwa pande zote
mbili.
Mpaka mapumziko timu hizo zilitoka sare ya 0 – 0. Kipindi cha
pili mnano dakika ya sabini mtaalamu wa kuzifunga simba na yanga John Bocco
alifanya kama alivyozoea baada ya kuipa uongoz timu yake.
Hadi mpira unamalizika Simba 0 – 1 Azam.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Simba 0 - 1 Azam"