MUDA: 18:15
UWANJA: Estadio Vicente Calderon
REFARII: Antonio Mateu (Spain)
UWANJA: Estadio Vicente Calderon
REFARII: Antonio Mateu (Spain)
Kuelekea
kwenye mchezo mkubwa wa mwisho wa wiki tunakuletea tathimini fupi kati ya Atletico
Madrid na Barcelona.
Michezo mitano iliyopita Matokeo kwa timu zote
mbili ni kama ifuatavyo
Atletico Madrid
|
Barcelona.
|
W, D W, W, W,
|
W, D, W, L, W
|
Atletico Madrid
|
Barcelona.
|
7
FEBRUARY, COPA DEL REY
Barcelona 1 : 1 Atletico
12
FEBRUARY, LA LIGA
Atletico
3 : 2 Celta
18
FEBRUARY, LA LIGA
Sporting
1 : 4 Atletico
21
FEBRUARY, CHAMPIONS LEAGU
Leverkusen
2 : 4 Atletico
|
7
FEBRUARY, COPA DEL REY
Barcelona
1 : 1 Atletico
11
FEBRUARY, LA LIGA
Alaves
0 : 6 Barcelona
14
FEBRUARY, CHAMPIONS LEAGUE
PSG
4 : 0 Barcelona
19
FEBRUARY, LA LIGA
Barcelona
2 : 1 Leganes
|
MICHEZO
MITANO WAO KWA WAO(HEAD- HEAD)
Atletico
Madrid ameshinda mara 1 Barcelona ameshinda mara 2, sare 2 kama zinavyoonekana:
Atletico Madrid
|
Barcelona.
|
|
13.04.2016
CHAMPIONS LEAGUE
ATLETICO
2 : 0 BARCELONA
|
07.02.2017
COPA DEL REY
BARCELONA
1 : 1 ATLETICO
21.09.2016
LA LIGA
BARCELONA
1 : 1 ATLETICO
|
01.02.2017
COPA DEL REY
ATLETICO
1 : 2 BARCELONA
05.04.2016
CHAMPIONSLEAGUE
BARCELONA
2 : 1 ATLETICO
|
Katika laliga Barcelona ameshinda michezo mingi,ameshinda
mara 15 dhidi ya 13 za Atletico Madrid,
Pia
Barcelona amepoteza michezo michache , amepoteza michezo 2 dhidi ya 4 ya Atletico
Madrid.
Timu
hizo mbili zimetoka sare michezo 6.
Atletico
Madrid ameonekana kushinda mara nyingi zaidi akiwa nyumbani, ameshinda kwa
asilimia 34 dhidi ya 33% za Barcelona na 33% wametoka suluhu.
Atletico
Madrid wapo katika nafasi ya nne(4) baada ya kucheza michezo 23 na kukusanya
jumla ya pointi 45 wakati huo Barcelona wao wamecheza michezo 23 na
kujikusanyia jumla ya pointi 51 wakiwa katika nafasi ya 3 nyuma ya Sevilla na
vinara Real Madrid.
Wachezaji
wa kuchungwa sana siku ya leo kwa upande wa Atletico ni Y.
Ferreira Carrasco, A. Griezmann, K. Gameiro, F.
Torres.
Kwa upande wa Barcelona ni L. Messi, L. Suárez, Neymar
RATIBA NZIMA YA LALIGA LEO HIYO HAPO CHINI:
Espanyol vs Osasuna 14:00
Atletico Madrid vs Barcelona 18:15
Sporting Gijon vs Celta Vigo 20:30
Athletic Bilbao vs Granada 20:30
Villarreal vs Real Madrid 22:45
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Atletico Madrid vs Barcelona kum bukumbu muhimu kabla ya mchezo wao wa leo"