Kepteni
wa timu ya taifa ya Tanzania anaekipiga katika timu ya Genk Mbwana Samatta ameendelea
kuwa mwiba katika safu ya ulinzi anaowekewa na timu pinzani Barani ulaya.
Jana usiku
Samatta alifunga mara 2 na kuisaidia timu yake ya Genk kupata ushindi ugenini
wa 5 – 2 dhidi ya Gent zote za Ubeligiji.
Samatta
ambae kwasasa yupo katika kiwango bora kabisa alipata magoli hayo dakika ya 41
na 72.
Magoli
mengine ya Genk yalifungwa na Ruslan Malinovsky 21’, Omar Colley 33’ na Jere
Uronen 45’
Magoli
ya Gent yalifungwa na Samuel Kalu 27’ na Kalifa Coulibaly 61’
Matokeo
mengine jana ni kama ifuatavyo:-
Celta
de Vigo 2-1 FK Krasnodar
APOEL
Nicosia 0-1 Anderlecht
FC
Schalke 04 1-1 Borussia
Mönchengladbach
Olympique
Lyon 4-2 AS Roma
FK
Rostov 1-1 Manchester United
Olympiakos
Piraeus 1-1Besiktas
FC
Kopenhagen 2-1 Ajax
0 Comment untuk "Gent 2- 5 Genk, Samatta atupia mara 2, sasa ni pangapangua yupo kikosini"