Magoli mawili ndani ya dakika 3
yaliamsha shangwe na nderemo katika Uwanja wa Estadio Vicente Calderon na watu
kuamini kuwa mvua ya magoli inaelekezwa Real Madrid, lakini ndoto hizo
zilififia baada ya Karim Benzema akiwa katika kiwango bora kulazimisha kupita
mabeki watatu wa Atletico huku wakizani mpira umetoka na kuujaza ambapo
ulimkuta Kros aliepiga shuti kali goli kipa akajitahidi kuokoa lakini Isco
alifunga kwa ustadi mkubwa katika dakika ya 42.
Tathimini ya mchezo wa leo ulikuwa
na ubabe mwingi na ufundi wa mtu mmoja mmoja.
Mpaka dakika 90 zinamalizika
Atletico Madrid 2 – Real Madrid 1 na
hivyo Madrid wanatinga fainali kwa faida ya magoli waliyovuna katika mchezo wa
awali.
Kikosi cha Atletico
Madrid:
Oblak; Gimenez, Godin, Savic,
Filipe; Gabi, Saul, Koke, Carrasco; Griezmann, Torres
Akiba:
Moya, Lucas, Tiago, Correa, Thomas, Gaitan,
Gameiro
Kikosi cha Real
Madrid:
Navas; Marcelo, Varane, Ramos, Danilo;
Casemiro, Kroos, Modric; Isco, Benzema, Ronaldo
Akiba:
Casilla, Nacho, Rodriguez, Kovacic, Vazquez,
Asensio, Morata
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Atletico Madrid 2 – 1 Real Madrid Aggr 2 – 4 , Ndoto za Diego Simeone zaishia ndani ya Estadio Vicente Calderon"