Kocha wa Sunderland ametangaza
kujiuzulu kibarua chake kufuatia kushuka daraja kwa Sunderland.
Moyes mwenye umri wa miaka 54 amekua
katika msimu mbaya baada ya kushindwa kuinusuru timu ya sunderland na kushuka
daraja baada ya miaka 10 kupita.
“namshukuru mwenyekiti na na watu
wote wa bodi kwa kuniamini na kunichagua kuwa kocha wa wa Sunderland na
nawashukuru mashabiki kwa kuiunga mkono timu ” alikaririwa Moyes
Uongozi wa kilabu hiyo chini ya
mwenyeki Ellis Short wameridhia uamuzi huo na kumshukuru Moyes kwa jitihada
alizokuwa akizifanya ili kuweza kuinusu timu hiyo isishuke daraja.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Moyes Ajiuzulu kuifundisha Sunderland"