Timu ya Azam imempata kipa namba
moja wa timu ya mbao Fc Benedict Haule kama mbadala wa Aishi Manula
aliyesajiliwa simba msimu huu kwa miaka miwili.
Hili limefanyika mara moja baada ya
juzi simba kumnyakua kipa namba moja wa timu hiyo kwa ajili ya kusuka kikosi
chao kwa msimu mpya wa ligi na michuano ya kimataifa msimu ujao.
Haule ambae alikuwa kivutio katika
michuano ya FA na mechi za mwisho za ligi kuu hasa timu inapokutana na timu
kama simba, yanga au azam , amesaini mkataba wa miaka miwili
kuitumikia timu ya Azam.
0 Comment untuk "Azam balaa, wamnasa kipa wa Mbao atua Azam miaka miwili"