Zinedine
Zidane amewambia wachezaji wake kuwa
anachohitaji yeye ni kombe tu na sivingevyo, ameyasema hayo wakati wa mazoezi
ya mwisho jana tayari kwa mchuano huo wa fainali dhidi ya juve.kwa mujibu wa
jarida la Marca
Tambo
zimekuwa nyingi sana huku juve wakidai wao wanaukuta madhubuti na Madrid wakithibitisha
hivyo, kwa upande wa Madrid wao wanasifika kwa ufungaji, viungo wenye ujuzi binafsi
kama Isco, Modrick, Toni kroos.
Juve ukuta
wao unaongozwa na Daniel Alves, Leonardo Bonucci, Giorgio Chiellini, Alex Sandro.
Vikosi vinategemewa kuwa hivi:
Juventus: Gianluigi Buffon, Daniel Alves, Leonardo Bonucci,
Giorgio Chiellini, Alex Sandro, Sami Khedira, Miralem Pjanic, Juan Cuadrado, Paulo Dybala, Mario Mandzukic, Gonzalo Higuain;
Kocha: Massimiliano Allegri
Mfumo:
4-2-3-1
Real Madrid:
Keylor
Navas, Daniel Carvajal,
Marcelo, Sergio Ramos, Raphael Varane, Toni Kroos, Casemiro, Luka Modric, Isco, Cristiano
Ronaldo, Karim Benzema
Kocha: Zinedine Zidane
Mfumo:
4-3-1-2
Uwanja:
Millennium Stadium
Referee: Felix Brych (Germany).
Muda: 21:45
0 Comment untuk "Juventus vs Real Madrid, Maneno ya mwisho ya Zidane kwa wachezaji wake Kuelekea mchezo wa fainali “Hakuna cha kupoteza zaidi ya kutwaa kombe”"