Mshereheshaji mkubwa na shabiki wa
kutupwa wa timu ya yanga bwana Ally Yanga, amefariki duniani leo katika ajali
huko mkoani Dodoma – Mpwapwa.
Habari tulizozipata kupitia page ya
Yanga zinasema umauti umemfika akiwa katika harakati za mbio za mwenge wa Uhuru
ambao upo Dodoma
Innah Lilah wainah illah rajiuun.
Poleni sana wana Yanga poleni
watanzania
Millionaire Ads
0 Comment untuk "TANZIA"