Tuzo za wachezaji bora idara zote
kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya zimetangazwa leo na Real
Madrid kutwaa tuzo tatu kati ya nne ziliwaniwa.
Mchezaji bora wa kiume wa UEFA 2016/17
ni Cristiano Ronaldo
Mchezaji bora wa kike wa UEFA 2016/17
ni : Lieke Martens
Tuzo ya kipa bora 2016/17 wa UEFA
imeenda Juventus kwa Buffon
Beki bora 2016/17 wa UEFA imeenda real Madrid kwa Sergio Ramos
Kiungo bora 2016/17 wa UEFA imeenda
Real Madrid kwa Luka Modric
Mshambuliaji bora 2016/17 wa UEFA imeenda
Real Madrid kwa Cristiano Ronaldo.
0 Comment untuk "Cristiano Ronaldo mchezai bora Uefa 2016/17 azoa tuzo tatu "