Real
Madrid wametoa majina sita kati ya majina 12 ya wanaowania tuzo hizo za Uefa,
wakati mahasimu wao wakubwa Barcelona wakitoa mchezaji mmoja tu kuwania tuzo
hizo.
Nafasi
zinazowaniwa ni kipa bora wa Uefa, beki bora, kiungo bora na mshambuliaji borawanaowania tuzo hizo ni kama ifuatavyo:
Makipa:
Gianluigi
Buffon (Juventus)
Manuel Neuer (Bayern Munich)
Jan Oblak (Atletico Madrid).
Mabeki:
Leonardo
Bonucci (Juventus sasa yupo AC Milan)
Marcelo (Real Madrid)
Sergio Ramos
(Real Madrid).
Viungo:
Casemiro
(Real Madrid)
Toni Kroos (Real Madrid)
Luka Modric (Real Madrid).
Washambuliaji:
Paulo
Dybala (Juventus)
Lionel Messi (Barcelona)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid).
Millionaire Ads
0 Comment untuk "UEFA yataja majina ya wachezaji watakaowania tuzo mbali mbali Tarehe 24 mweze 8 huko Monaco, Real Madrid yatawala"