Millionaire  Ads

AUBAMEYANG MADRID NI TIMU YA NDOTO ZANGU

Aubameyang si jina geni katika soka, ni mchezaji bora Afrika 2015/2016 akitwaa tuzo hiyo mbele ya Yaya Toure.
Aubameyang aliiambia Onze Mondial kuwa "madrid ni timu ninayoipenda na nilimuahidi babu yangu siku moja nitacheza madrid" aliendelea kusema "kama madrid wananihitaji basi wanaweza kuja na kunisajili mimi"ikumbukwe kuaAubameyang alibaki kidogo tu atue manchester city msimu huu lakini ilishindikana.

Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment untuk "AUBAMEYANG MADRID NI TIMU YA NDOTO ZANGU"

Back To Top