Millionaire  Ads

Hatimae Hans Van Pluijm arejea jangwani na kuendelea na kibarua chake


Hatimae mwigulu Nchemba amrejesha tena kundini kocha mkuu wa yanga Hans Van Pluijm na join hii amekiongoza kikosi cha yanga katika mazoezi yakujiandaa na mchezo wa wikiendi hii na Mbao FC.

Mwigulu ambae ni waziri katikata sreikali ya awamu ya tano ni mnazi na mwanachama wa kilabu hiyo kongwe nchini, ameweza kushawishi pande mbili zinazosigana na hatimae kukaa meza moja kwa mustakabali chanya wa yanga
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Hatimae Hans Van Pluijm arejea jangwani na kuendelea na kibarua chake"

Back To Top