Wakati ligi kuu ikiendelea leo jumatano, mchezo mmoja kati
ya Yanga na Ruvu Shooting umesogezwa mbele hadi kesho alhamisi Kutokana na kuchelewa
kuwasili kwa timu ya Ruvu katika kituo cha Dar es salaam ikitokea mkoani Kagera
ilipokuwa imecheza mchezo wake wa raundi ya 14 dhidi ya wenyeji wao Kagera
sugar.
Michezo mingine miwili inaendelea kama ilivyopangwa siku ya
leo, Tanzania Prisons itaikaribisha Simba huko Mbeya wakati huohuo huko
Shinyanga wenyeji Mwadui wataikaribisha Azam ya Dar es salaam.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "MCHEZO WA YANGA NA RUVU SHOOTING SASA KUPIGWA ALHAMISI"