Millionaire  Ads

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA PAMOJA NA MECHI ZA KESHO NOVEMBA 9

baada ya michezo ya wikiendi timu nyingi zimekamilisha raundi ya kwanza baada ya kumaliza michezo 15 na timu sita zimebaki ambapo zitashuka viwanja tofauti siku ya kesho jumatano novemba 9 ili kuhitimisha raundi hiyo.
Jiji Dar es salaam katika dimba la Uhuru wenyeji Dar es salaam Young Africans wataikaribisha timu ya Ruvu Shooting ya Mlandizi mkoani pwani.
  Huko shinyanga timu ya Mwadui FC wataikaribisha timu ya Azam FC 
wakati huko Mbeya maafande wa Tanzania Prisons wataialika simba ya Dar es salaam.
msimamo wa ligi hiyo mpka sasa ni kama ifuatavyo:

Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA PAMOJA NA MECHI ZA KESHO NOVEMBA 9"

Back To Top