Millionaire  Ads

NI BARCELONA AU REAL MADRID KWENYE EL CLASICO JUMAMOSI?



Ubishi kumalizwa Camp Nou siku ya jumamosi wakati miamba miwili ya soka Barcelona na Real Madrid watakapoonyesha kazi katika mchezo muhimu wa ligi kuu ya nchini Hispania maarufu kama ‘LaLiga Santander’

Tukiiangalia Barcelona, kwa msimu huu ni kama mambo yanawaendea vibaya hawawapi raha mashabiki wao kama walivyozoea, kiufundi baada ya beki wao kisiki Gerard Pique Kuwa na maumivu ya ankle na kucheza chini ya kiwango kwa muagentina Javier Mascherano huenda kukamlazimu kocha Luis Enrique kocha wa Barcelona kumuanzisha Samuel Umtiti ambae katoka kwenye majeruhi.  Chakufurahisha kwa Barcelona ni kupona kwa Iniesta na Alba hivyo kutaongeza morali kwa wachezaji.

Kwa upande mwingine kocha zidane atakuwa katika wakati mgumu pale atakapowakosa wachezaji wake muhimu wa kikosi cha kwanza Toni Kroos na Gareth Bale hivyo ambapo inatabiriwa huenda akabadili mfumo wa uchezaji kutoka 4 -3 -3 kwenda 4 -2 -3 -1 akiwatumia Casemiro , Mateo Kovacic na Luka Modric eneo la katikati.

madrid na barca wanatofautiana kwa pointi 6 madrid ikwa na 33 wakati barcelona wao wana 27.
Zidane alipohojiwa na vyombo vya habari alisema yeye anasubiri dakika 90 wakati

Takwimu kwa timu zote mbili kuelekea mchezo huo zinaibeba real Madrid kuibuka na ushindi na kukaribia kuikuta rekodi ya 1988/89 ya kucheza michezo 34 bila kupoteza mpka sasa Madrid imecheza michezo 31 bila kupoteza
Nani kuibuka mbabe tusubiri dakika 90 katika dimba la nou camp kesho jumamosi kuanzia saa 18:15

Kombe            Real Madrid vs                                    matokeo
Copa                  Cultural L.                                             6-1      home
laLiga               Sporting Gijon                                         2-1     home
Champions         Sporting Portugal                                    1-2    away
laLiga               Atlético-madrid                                         0-3     away
laLiga                Leganés                                                   3-0  home

kombe                           Barcelona vs                               matokeo
Copa                     Hércules                                                  1-1    away
Liga                       R. Sociedad                                             1-1   away
Champions         Celtic Glasgow                                             0-2   away
Liga                      Málaga                                                      0-0   home

Liga                     Sevilla                                                        1-2  home

michezo mingine ya laliga kesho decemba 3 ni kama ifuatavyo:
Granada vs Sevilla                15:00
Leganes vs Villarreal           20:30
Atletico Madrid vs Espanyol   22:45
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "NI BARCELONA AU REAL MADRID KWENYE EL CLASICO JUMAMOSI?"

Back To Top